Carlos Pedro Zilli
Mandhari
Carlos Pedro Zilli (7 Oktoba 1954 – 31 Machi 2021) alikuwa Askofu wa Kanisa Katoliki aliyezaliwa nchini Brazil na baadaye kuwa raia wa Guinea-Bissau.
Zilli aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Bafatá lililoanzishwa mwaka 2001[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Paroquias.org. "Nova Diocese na Guin :: Paroquias.org - Notcias". www.paroquias.org (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2018-02-12.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |