Nenda kwa yaliyomo

Carlos Airala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carlos Javier Airala (alizaliwa tarehe 25 Agosti 2002) ni mchezaji wa soka wa Argentina anayekipiga katika nafasi ya kiungo. Kwa sasa anachezea klabu ya Uruguay ya Oriental kwa mkopo kutoka Racing de Montevideo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Airala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.