Nenda kwa yaliyomo

Carlo Vittorio Amedeo delle Lanze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carlo Vittorio Amedeo Delle Lanze (17121784) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki na kardinali kutoka Italia.

Katika ujana wake, Delle Lanze alifikiriwa kuwa karibu na Ujanseni, lakini katika miaka yake ya mwisho alikuwa mfuasi wa Wajesuiti na alikuwa sehemu ya Zelanti.[1][2]

  1. From Treccani website article about Delle Lanze
  2. Ilihifadhiwa 18 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine. From Prof.Miranda website
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.