Nenda kwa yaliyomo

Carlo Orlandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carlo Orlandi (23 April 191029 July 1983) alikuwa bondia wa Kiitalia ambaye alishinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1928. [1][2]Mnamo mwaka 1929, Orlandi alianza ndondi za kulipwa. Katika miaka ya 1930, alishikilia mataji ya uzani wa kati wa Italia na Ulaya. Baadaye, mwaka 1941, alitwaa taji la Italia katika uzani wa welterweight na kustaafu mwaka 1944. Orlandi alikuwa ni kiziwi.[3] [4]

  1. Carlo Orlandi. sports-reference.com
  2. "Carlo ORLANDI - Olympic Boxing | Italy". International Olympic Committee (kwa Kiingereza). 2016-06-14. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Professional boxing record for Carlo Orlandi from BoxRec
  4. https://www.ciss.org/athletes/carlo-orlandi
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlo Orlandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.