Nenda kwa yaliyomo

Carlo Gnocchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carlo Gnocchi (25 Oktoba 190228 Februari 1956) alikuwa padre, mwalimu, na mwandishi wa Italia. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mpatanishi.

Wakati wa Vita vya Kidunia vya Pili, alikuwa padre wa kijeshi wa Alpini, wanajeshi wa vita vya milimani wa Jeshi la Italia.

Baada ya mang'amuzi mabaya ya vita, alijitahidi kupunguza majeraha ya kuteseka na umaskini yaliyosababishwa na vita.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.