Carles Puyol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Puyol mwaka 2011.
Puyol mwaka 2007.

Carles Puyol Saforcada (alizaliwa 13 Aprili 1978) alikuwa mchezaji mashuhuri wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye alichezea klabu ya Barcelona F.C. mpaka kustaafu. Yeye alikuwa akicheza kama mlinzi wa kati lakini pia kama beki wa kulia, anachukuliwa kama mmoja wa walinzi bora wa kizazi chake.

Alikuwa nahodha wa Barcelona tangu Agosti 2004 hadi kustaafu kwake mwaka 2014, na alionekana kwenye mechi 593 za klabu.

Alishinda makombe 20 ikiwa vikombe sita vya La Liga na matatu ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Puyol alishinda makombe 38 katika nchi yake ya Hispania, na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Euro 2008 na Kombe la Dunia la 2010.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carles Puyol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.