Carl Robert Brown
Mandhari
Carl Robert Brown (26 Novemba 1930 – 20 Agosti 1982) alikuwa mwalimu wa Marekani na mhalifu aliyefanya mauaji ya watu wengi (mass murderer), ambapo alimpiga risasi na kuua watu wanane na kuwajeruhi wengine watatu katika duka la ufundi wa kulehemu (welding shop) mjini Miami tarehe 20 Agosti 1982. Baadaye aliuawa kwa kupigwa risasi na mashahidi wawili alipokuwa akiondoka eneo la tukio akiwa amepanda baiskeli.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Carl Robert Brown alizaliwa tarehe 26 Novemba 1930 huko Chicago, Illinois.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://archive.today/20240610170901/https://www.miamiherald.com/news/local/community/miami-dade/hialeah/article234124132.html) "The day a ticked-off Miami teacher killed 8 people before a witness chased him down"]. Miami Herald. 2019-08-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(https://www.miamiherald.com/news/local/community/miami-dade/hialeah/article234124132.html) chanzo] mnamo 2024-06-10.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Robert Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |