Carl Jenkinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Carl Jenkinson

Carl Jenkinson(alizaliwa 8 Februari 1992) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Arsenal.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Jenkinson alianza kazi yake na klabu ya Charlton Athletic kabla ya kujiunga na klabu ya Arsenal mwaka 2011.

Alicheza msimu wa 2014-15 na 2015-16 kwa mkopo katika klabu ya West Ham United, aliumia katikati ya msimu. Alicheza msimu wa 2017-18 kwa mkopo katika klabu ya Birmingham City.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aliwakilisha timu ya taifa ya Uingereza dhidi ya Finland wakati wa ngazi ya vijana kabla ya kucheza katika timu kubwa ya Uingereza mwaka 2012.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Jenkinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.