Nenda kwa yaliyomo

Cardinham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa la Cardinham

Cardinham ni kijiji kidogo karibu na mji Bodmin katika Uingereza. Kuna shule moja, kanisa, uwanja kwa kucheza na mashamba mengi. Cardinham ni mahali pa kupendeza.

Makala hii kuhusu "Cardinham" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.