Capoeira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wachezaji wa Capoeira nchini Ujerumani

Capoeira ni mchezo wa kujihami kwa kutumia mateke wenye asili katika nchi ya Brazili. Ni mchezo ambao huchezwa kwa sarakasi, ngoma na muziki [1].

Mchezo huo ulianzishwa katika karne ya 16 na watumwa kutoka Afrika ambao wengi wao walikuwa wanatokea katika nchi ya Angola na [2] katika kipindi cha mwanzo mchezo huo ulikuwa ukionekana kama sarakasi za kawaida ikawa vigumu kwa wakoloni kugundua kuwa watumwa hao walikuwa wakifanya mazoezi ya mapigano.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Andrew Kingsford-Smith. "Disguised in Dance: The Secret History of Capoeira". Culture Trip. Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  2. c9cwu. "What is Capoeira?". Capoeira-World.com (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-25. Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Capoeira kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.