Camilo José Cela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Camilo José Cela

Camilo Jose Cela Trulock (11 Mei 191617 Januari 2002) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Hispania. Aliandika riwaya, insha na vitabu vya safari. Mwaka wa 1989 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camilo José Cela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.