Camillus Wambura
Mandhari
| Camillus Wambura | |
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) | |
| Military service | |
| Rank | |
|---|---|
Camillus Mongoso Wambura ni mtumishi wa umma wa Tanzania na kwa sasa ndiye Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania. Aliteuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tarehe 19 Julai 2022.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/president-samia-appoints-wambura-new-igp-3885704
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Camillus Wambura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |