Nenda kwa yaliyomo

Camillo Astalli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Camillo Astalli (21 Oktoba 161621 Desemba 1663) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki wa Italia na Kardinali-Mpwa wa Papa Innocent X ambaye alihudumu kama Kardinali-padri wa San Pietro in Montorio (16531662), Camerlengo wa Urika wa Makardinali (16611662), na Askofu Mkuu (cheo binafsi) wa Catania (16611663).[1][2]

  1. Miranda, Salvador. "The Cardinals of the Holy Roman Church: ASTALLI-PAMPHILJ, Camillo (1619-1663)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 29 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Camillo Cardinal Astalli-Pamphilj" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved September 19, 2016
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.