Nenda kwa yaliyomo

Camille Froidevaux-Metterie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Camille Froidevaux-Metterie (alizaliwa Paris, 18 Novemba 1968) ni mwanafalsafa na profesa wa sayansi ya siasa kutoka Ufaransa. Utafiti wake unalenga maisha ya wanawake wa kisasa, akichunguza jinsi wanavyodai kudhibiti miili yao kupitia harakati za haki za wanawake, ikiwemo vuguvugu la MeToo (harakati ya kimataifa inayolenga kuonyesha na kupinga unyanyasaji wa kijinsia na dhuluma dhidi ya wanawake). Mnamo mwaka 2017 alipokea tuzo ya Chevalier de l'Ordre National du Mérite. Kazi yake inaendeleza fikra za kifeministi za watu mashuhuri wa falsafa, Simone de Beauvoir na Iris Marion Young.[1][2][3]

  1.  Un corps à soi », de Camille Froidevaux-Metterie : vivre le corps féminin". Le Monde.fr (kwa Kifaransa). 2 Septemba 2021.
  2. "Camille FROIDEVAUX-METTERIE". www.univ-reims.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 28 Januari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Camille Froidevaux-Metterie : podcasts et actualités". Radio France (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 28 Januari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camille Froidevaux-Metterie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.