Camille Chamoun
Mandhari
Camille Nimr Chamoun 3 Aprili 1900 hadi 7 Agosti 1987) alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa serikali wa Lebanon ambaye alihudumu kama Rais wa Lebanon wa pili wa nchi hiyo kuanzia mwaka 1952 hadi 1958.[1] Alikuwa mmoja wa viongozi wakuu wa Wakristo wa Lebanon katika kipindi kikubwa cha Vita vya Kijenyewe vya Lebanon na alichukuliwa kama za'im (kiongozi mwenye ushawishi mkubwa wa kisiasa) nchini Lebanon.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ R. Hrair Dekmejian (1975). Patterns of Political Leadership: Egypt, Israel, Lebanon. SUNY Press. uk. 34. ISBN 978-0-87395-291-0.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Camille Chamoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |