Nenda kwa yaliyomo

Camila Gómez Ares

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Camila Gómez Ares

Camila Gómez Ares (alizaliwa 26 Oktoba 1994) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambae anacheza kama Kiungo wa klabu ya wanawake ya Boca juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina. Camila alishiriki kwenye mashindano ya wanawake ya Copa Amerika Femenina mwaka 2014, michuano ya Amerika ya kusini 2014 na Pan Amerika 2015. Camila aliwakilisha Argentina kwenye kombe la dunia la fifa chini ya umri wa miaka 20 mnamo mwaka 2012[1]

  1. @CamuGomezAres (23 Aprili 2014). "Que lindo es ser de San Lorenzo!!" (Tweet) (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 20 Machi 2019 – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camila Gómez Ares kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.