Camila Brait
Mandhari
Camila de Paula Brait (alizaliwa Oktoba 28, 1988) ni mchezaji mpira wa wavu wa kimataifa mwanamke kutoka Frutal, Brazili akicheza kama mchezaji huru. Kwa sasa anatetea klabu ya Osasco Voleibol Clube pia amestaafu timu ya taifa ya Brazili.
Alishinda medali ya fedha akiiwakilisha Brazili kwenye michuano ya Olimpiki majira ya joto 2020.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- https://web.archive.org/web/20110830211231/http://www.voleibrasil.org.br/perfis/Camila+Brait/33#. imeongezwa mnamo 03.12.2021
- http://www.fivb.org/EN/Volleyball/Competitions/WorldChampionships/2010/Women/Players.asp?Tourn=WWCH2010&Team=BRA&No=119241. imeongezwa mnamo 03.12.2021
- https://olympics.com/tokyo-2020/olympic-games/en/results/volleyball/athlete-profile-n1353801-brait-camila.htm Archived 14 Agosti 2021 at the Wayback Machine.. imeongezwa mnamo 03.12.2021