Nenda kwa yaliyomo

Camara Phyllis Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Camara Phyllis Jones (amezaliwa Agosti 16, 1955)[1] ni daktari wa Marekani, mtaalamu wa epidemiolojia, na mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi ambaye amebobea katika kuchunguza athari za ubaguzi wa rangi na ukosefu wa usawa wa kijamii katika afya za watu.

Anajulikana kwa kazi yake ya kufafanua ubaguzi wa rangi wa kitaasisi, ubaguzi wa rangi wa moja kwa moja baina ya watu, na ubaguzi wa rangi uliojengeka ndani ya nafsi katika muktadha wa mahusiano ya kisasa ya rangi nchini Marekani.[2]

Wakati wa janga la COVID-19, Jones alipendekeza kwamba ubaguzi wa rangi ulikuwa ukiweka makundi ya wachache nchini Marekani katika hatari kubwa zaidi ya kuambukizwa COVID-19 na kupata madhara makubwa kutokana na maambukizi hayo.[3][4] Pia alitoa wito wa kuchukuliwa hatua za kupambana na ubaguzi wa rangi wa kimuundo.[4][5]

  1. ↑ Nielsen, Euell A. (Agosti 23, 2020). ["Camara) Phyllis Jones (1955- )". BlackPast.org. Iliwekwa mnamo 2020-09-19. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Jones, Camara Phyllis (2002). "Confronting Institutionalized Racism". Phylon. 50 (1/2): 7–22. doi:10.2307/4149999. JSTOR 4149999.
  3. ↑ {{Cite web|last=Wallis|first=Claudia|title=Why Racism, Not Race, Is a Risk Factor for Dying of COVID-19|url=[[Scientific(https://www.scientificamerican.com/article/why-racism-not-race-is-a-risk-factor-for-dying-of-covid-191/|website=Scientific) American|date=2021-12-21|orig-date=Originally published July 12, 2020|access-date=2025-10-08}}[dead link]
  4. 1 2 {{Cite news|last=Levenson|first=Eric|title=Why Black Americans are at higher risk for coronavirus|url=[[The(https://www.phillytrib.com/news/health/coronavirus/why-black-americans-are-at-higher-risk-for-coronavirus/article_5663224b-d19c-5478-a2eb-9456d0d8fc86.html|date=2020-04-07|work=The) Philadelphia Tribune|access-date=2025-10-08}}
  5. ↑ Simon, Clea (June) 5, 2020). ["Facing the denial of American racism". The Harvard Gazette. Iliwekwa mnamo 2020-07-12. {{cite news}}: Check |url= value (help); Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camara Phyllis Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.