Nenda kwa yaliyomo

Cache Armbrister

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Caché Armbrister (alizaliwa 26 Septemba 1989) ni mwanariadha wa mbio fupi kutoka Bahama mwenye asili ya Jamaika, aliyebobea katika mbio za mita 100, 200 na 400. Alikulia Nassau, ambapo alisoma katika Chuo cha St. Augustine’s. Baadaye alishindana akiiwakilisha Chuo Kikuu cha Auburn pamoja na Nivea Smith na Sheniqua Ferguson, wote wakifundishwa na kocha Henry Rolle. Katika msimu wa mwaka 2013, alihamia Jamaika kufundishwa na Glen Mills, kocha wa Usain Bolt na Yohan Blake.[1]

Hivi sasa, Armbrister anatoa mafunzo ya riadha kwa watu wa umri wowote.[2]

  1. "Texas training move pays off as Armbrister turns in personal best". The Tribune 242. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Armbrister branches off into athletic training". Nassau Guardian. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cache Armbrister kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.