Cabazitaxel
| Jina la (IUPAC) | |
|---|---|
| (1S,2S,3R,4S,7R,9S,10S,12R,15S)-4-(Acetyloxy)-15-{[(2R,3S)-3-{[(tert-butoxy)carbonyl]amino}-2-hydroxy-3-phenylpropanoyl]oxy}-1-hydroxy-9,12-dimethoxy-10,14,17,17-tetramethyl-11-oxo-6-oxatetracyclo[11.3.1.03,10.04,7]heptadec-13-en-2-yl benzoate | |
| Data ya kikliniki | |
| Majina ya kibiashara | Jevtana |
| AHFS/Drugs.com | Monograph |
| MedlinePlus | a611009 |
| Taarifa za leseni | EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link], US Daily Med:link |
| Kategoria ya ujauzito | D(AU) ?(US) |
| Hali ya kisheria | Prescription Only (S4) (AU) POM (UK) ℞-only (US) |
| Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mishipa |
| Vitambulisho | |
| Nambari ya ATC | ? |
| Visawe | XRP-6258 |
| Data ya kikemikali | |
| Fomyula | C45H57NO14 |
| |
| | |
Cabazitaxel, inayouzwa kwa jina la chapa Jevtana, ni dawa inayotumika kutibu saratani ya kibofu.[1] Hasa inatumika kwa saratani ya kibofu inayostahimili kuhasiwa kwa metastatic kwa watu ambao wameshindwa matibabu mengine.[1] Dawa hii inatolewa kwa njia ya sindano kwenye mshipa.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na chembechembe za chini za damu nyekundu, chembechembe za chini za damu nyeupe, chembe za chini za pletleti na kuhara.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha athari za mzio na matatizo ya figo.[2] Dawa hii ni taxane (kundi la dawa zinazotumika kutibu saratani) ambayo huingiliana na microtubules (sehemu ya seli inayohusika na muundo na usafirishaji wa vitu ndani ya seli).[3]
Cabazitaxel iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2010, na Ulaya mwaka wa 2011.[2][1] Nchini Uingereza, miligramu 60 ziligharimu Huduma ya Kitaifa ya Afya (NHS) takriban £3,700 kufikia mwaka wa 2021.[4] Kiasi hiki nchini Marekani kinagharimu takriban dola 12,700 za Kimarekani.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 3 4 5 "Jevtana". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 "Cabazitaxel Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cabazitaxel". NCI Drug Dictionary. U.S. Department of Health and Human Services, National Institutes of Health, National Cancer Institute. 2011-02-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-25. Iliwekwa mnamo 2021-02-16.
- ↑ BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 968. ISBN 978-0857114105.
- ↑ "Jevtana Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Juni 2024. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)