Nenda kwa yaliyomo

César Manrique

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
César Manrique

Sanamu kutoka La Mirada de César
Amezaliwa César Manrique
Kazi yake
  • Usanifu
  • Mchongaji
  • Uchoraji
  • Muundo wa ndani
Miaka ya kazi 1945–1992
Tovuti https://fcmanrique.org

}} César Manrique (24 Aprili 191925 Septemba 1992) alikuwa msanii wa Kihispania, mchongaji wa sanamu na mwanaharakati wa mazingira kutoka kisiwa cha Lanzarote. Alijulikana sana kwa miradi ya usanifu majengo aliyohusika nayo kama mkurugenzi wa kisanii katika kisiwa chake, ambapo alichanganya sanaa, usanifu na heshima kwa mazingira ya asili.[1][2]

  1. Kloc-Konkołowicz, Jakub (2025). Projekt Lanzarote – urzeczywistnienie utopii? César Manrique i jego program estetyczno-społecznego przeobrażenia wyspy. University of Warsaw Press. ISBN 978-83-235-6755-4.
  2. "Manrique, César", Benezit Dictionary of Artists, Oxford University Press, 2011-10-31, iliwekwa mnamo 2026-01-11
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Manrique kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.