Bwawa la Hombolo
Mandhari
Bwawa la Hombolo ni bwawa lililopo katika kijiji cha Hombolo Bwawani, katika Wilaya ya Dodoma Mjini, Mkoa wa Dodoma, nchini Tanzania.
Bwawa hili lilijengwa mwaka 1957 na serikali ya kikoloni kwa madhumuni mbalimbali ya maendeleo ya jamii.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Source book for the inland fishery resources of Africa Vol. 1". www.fao.org. Iliwekwa mnamo 2026-06-25.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bwawa la Hombolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |