Bwana Msa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bwana Msa ni mhusika wa kubuni katika vitabu vya mwandishi Mohammed S. Abdullah.

Vitabu vinavyomhusu Bwana Msa[hariri | hariri chanzo]

  • Mzimu wa Watu wa Kale, 1960
  • Kisiwa cha Giningi, 1968
  • Duniani Kuna Watu, 1973
  • Siri ya Sifuri, 1974
  • Mke Mmoja Wanaume Watatu, 1975
  • Mwana wa Yungi Hulewa, 1976
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bwana Msa kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.