Nenda kwa yaliyomo

Busisiwe Mkhwebane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Busisiwe Mkhwebane ni mwanasheria na mwendesha mashtaka wa Afrika Kusini ambaye aliwahi kuwa Mlinzi wa Umma (Public Protector) wa nne wa Afrika Kusini kuanzia Oktoba 2016 hadi alipoondolewa madarakani kupitia mchakato wa impeachment mwezi Septemba 2023.

Baada ya kuondolewa, alihudumu kama Mbunge wa Bunge la Taifa la Afrika Kusini kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2024, akiwakilisha chama cha Economic Freedom Fighters (EFF).

Pia ndiye kiongozi wa kwanza wa taasisi ya Sura ya 9 (Chapter 9 institution) kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa impeachment.[1][2]

  1. ↑ Cameron, Jackie (2019-07-31). "HSBC joins dots from Gupta-friendly public protector to Chinese rail company kickbacks". BizNews.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-08-01.
  2. ↑ JORDAAN, NOMAHLUBI (30 Julai 2019). "$5,000 payment to Mkhwebane flagged by HSBC bank: report". TimesLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-08-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Busisiwe Mkhwebane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.