Burdur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:34, 17 Agosti 2013 na Rotlink (majadiliano | michango) (world-gazetteer.com is dead)

Burdur (zamani ulikuwa ukiitwa Buldur), ni mji ulipo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mjii mkuu wa Mkoa wa Burdur katika Uturuki. Mji upo katika pwani ya Ziwa Burdur. Mji unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 67,097 kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.[1]

Marejeo

  1. World Gazetteer - Information about Burdur. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-12-08..

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Burdur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.