Bunifu antivirus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bunifu Antivirus ni programu kingavirusi ya tarakilishi.

Toleo lake la kwanza ilikuwa Mei 16, 2014[1] (ingawa wasanidi walipata ufikivu wa mapema mnamo Januari 2014) baada ya kuundwa kwa miaka miwili na nusu[2].

Iliundwa kutumia lugha ya C#.

Imetengezwa na kampuni ya Kenya ya Bunifu Technologies.

Programu yenyewe ni bure kutumia kwa muda wa mwezi mmoja. Baada ya muda huo kuyoyoma, bei yake hulingana na idadi ya watumizi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://innov8tiv.com/kenyas-first-local-antivirus-bunifu-sniper-antivirus/
  2. http://techmoran.com/here-is-what-you-dont-know-about-bunifu-sniper-from-bunifu-technologies/