Bundesstadion Südstadt
Mandhari
Bundesstadion Südstadt ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Maria Enzersdorf nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya VfB Admira Wacker Mödling na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FC Admira Wacker - Verein - Stadion". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-04. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bundesstadion Südstadt kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |