Nenda kwa yaliyomo

Bumble

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Bumble 2024

Bumble ni programu ya kuchat na kutafuta watu ama mtu mtandaoni iliyozinduliwa mwaka 2014. Programu hii ni bidhaa ya Bumble Inc., iliyoanzishwa na Whitney Wolfe Herd baada ya kuondoka Tinder. Wolfe Herd ameielezea Bumble kama "programu ya uchumba ya kike yaani kutafuta wachumba mtandaoni[1]."

Kampuni hii inathaminiwa kwa zaidi ya dola bilioni 1, na inasemekana ina zaidi ya watumiaji milioni 50 katika nchi 190 hadi mwaka 2023.

Kuanzia Juni 2024, Bumble ilikuwa programu inayopakuliwa zaidi nchini Marekani, ikiwa na upakuaji 735,000[2][3][4][5].

  1. "Most popular dating apps in the United States in June 2024, by number of monthly downloads". Statista. Iliwekwa mnamo Oktoba 18, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. O'Connor, Clare (Novemba 14, 2017). "Billion-Dollar Bumble: How Whitney Wolfe Herd Built America's Fastest-Growing Dating App". Forbes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 13, 2021. Iliwekwa mnamo Novemba 17, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Gross, Elana Lyn (Mei 10, 2019). "Bumble Launched A New Initiative To Support A Cause Whenever A Woman Makes The First Move". Forbes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 1, 2019. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Bumble Revenue and Usage Statistics 2024". Help Lama. Oktoba 2024. Iliwekwa mnamo Oktoba 18, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Bumble Inc. (BMBL)". Yahoo Finance. Iliwekwa mnamo Oktoba 18, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.