Bryan Adams
Mandhari
Bryan Guy Adams (alizaliwa 5 Novemba, 1959) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, na mpiga picha wa Kanada. Inakadiriwa kuwa ameuza kati ya milioni 75.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jones, Chris. "An exclusive behind the scenes look at the 'Pretty Woman' musical, coming to Chicago", March 9, 2018.
- ↑ Bagish, Corinne. "Bryan Adams' iconic album 'Reckless' turns 30", Mashable, November 20, 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bryan Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |