Bruno Petković

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bruno Petković (alizaliwa 16 Septemba 1994) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza katika klabu ya Dinamo Zagreb.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Trapani na Bologna[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Januari 2016 Petković alihamia Serie B nchini Italia katika klabu ya Trapani, kabla ya kurudi katika klabu ya Bologna katika ligi ya Serie A mnamo Januari 2017.

Dinamo Zagreb[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 6 Agosti 2018, alijiunga na klabu ya Dinamo Zagreb kwa mkopo wa muda mrefu akiwa .

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 11 Machi 2019 baada ya kucheza vizuri akiwa na klabu mbalimbali na akicheza katika Europa League, ambapo alicheza vizuri na kupokea tuzo ya mechi dhidi ya Viktoria Plzeň na Benfica.

Pia Bruno alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na Timu ya taifa ya Kroatia akiingia kama mbadala wa Marko Pjaca aliyejeruhiwa.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruno Petković kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.