Bruce Joel Rubin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bruce Joel Rubin (amezaliwa tar. 10 Machi 1943, mjini Detroit, Michigan) ni mwandishi-skirini anayejulikana sana kwa kuandikia filamu ya mahaba na miujiza ya Ghost ambayo ilishinda tuzo ya Oscar 1991 kwa ajili ya Uandikishi Bora Skrini.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]