Britt Assombalonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Britt Curtis Assombalonga (alizaliwa 6 Desemba 1992) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Middlesbrough iliyopo nchini Uingereza na timu ya taifa ya DR Congo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Britt Assombalonga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.