Briceida Cuevas
Mandhari
Briceida Cuevas, anayejulikana pia kama Briceida Cuevas Cob (amezaliwa Tepakán, Calkiní, Campeche, Meksiko, 12 Julai 1969)[1] ni mshairi wa jamii ya Wamaya.
Ni mwandishi wa mashairi kuhusu maisha ya kila siku kwa lugha ya Kiyukatek Maya, mengi kati ya hayo yametafsiriwa katika Kihispania, Kifaransa na Kiingereza.
Ni mwanachama wa shirika la Escritores en Lenguas Indígenas A.C. na pia ni mwanachama mwandani wa Academia Mexicana de la Lengua.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Contributors): Briceida Cuevas Cob". Words without Borders: The Online Magazine for International Literature. Iliwekwa mnamo 2019-03-04.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Briceida Cuevas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |