Briana Williams
Mandhari

Briana Nichole Williams (alizaliwa Marekani, Machi 21, 2002) ni mwanariadha ambaye alishindania Jamaika katika mbio za mita 100 na mita 200. Alikua mwanariadha mchanga zaidi kushinda mbio za mita 100 za wanawake na mita 200 mara mbili kwenye Mashindano ya Dunia ya Chini ya miaka 20 ya mwaka 2018 huko Tampere akiwa na umri wa miaka 16.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Briana Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |