Brian Mascord
Mandhari
Brian Gregory Mascord (alizaliwa 30 Januari 1959) ni askofu kutoka Australia. Yeye ni askofu wa tano wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Wollongong.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ordination booklet, 22 February 2018, Diocese of Wollongong.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |