Nenda kwa yaliyomo

Brian Abrahams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brian Abrahams
Amezaliwa 26 Juni 1947
Cape town,Afrika kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwimbaji
Brian Abrahams

Brian Abrahams (alizaliwa 26 Juni, 1947 huko Cape Town, Afrika Kusini) [1] ni mpiga ngoma na mwimbaji wa muziki wa jazz wa nchini Afrika Kusini .

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Abrahams alianza kufanya kazi kama mwimbaji katika bendi za nchini Afrika Kusini katika miaka ya 1970. [2] Abrahams alishiriki katika tamasha huko Swaziland kama mpiga ngoma za Sarah Vaughan na Nancy Wilson . Mnamo 1975 alihamia nchini Uingereza, ambapo alipata kutambuliwa zaidi katika kazi yake.

Orodha ya kazi za muziki

[hariri | hariri chanzo]
  • Imgoma Yabantwana (D6 Records)
  • To Be Free (EG Editions Jazz)
  • Force of Nature (Reel Recordings) w/ Mike Osbor
  • The Rhythm Of Tides (RedGold Records, 1997) w/ Grand Union Orchestra
  • Now Comes The Dragon's Hour (RedGold Records, 2002) w/ Grand Union Orchestra
  • 12 For 12 (RedGold Records, 2011) w/ Grand Union Orchestra
  • If Paradise (RedGold Records, 2011) w/ Grand Union Orchestra
  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 29. ISBN 0-85112-939-0.
  2. Cook, Richard (2005). Richard Cook's Jazz Encyclopedia. London: Penguin Books. ku. 2. ISBN 0-141-00646-3.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Abrahams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.