Braun Strowman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Braun Strowman

Adam Joseph Scherr (alizaliwa 6 Septemba 1983) ni mwanamiereka wa Marekani aliyekuwa mwenye nguvu; sasa amesainiwa na WWE ya kukuza mapambano ya mieleka, ambapo anacheza kwa jina la uringo Braun Strowman.

Baada ya kuanza kwa programu za WWE za mara kwa mara, Strowman alihusishwa kwenye kundi la The Wyatt Family, amevaa kinyago cheusi cha kondoo na mwenye nguvu zaidi. Katika maonesho yake yote na WWE, Strowman ameonekana kama mtu asiyepigika. Pia aliwahi kuwa mshindi wa Money In The Bank mwaka 2018 na mshindi wa Andre the Giant Memorial kwenye Wrestlemania 35. Pia inasemekana Braun ni mwanamiereka mwenye nguvu sana hata ana uwezo wa kubeba gari la kusafirisha mizigo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Braun Strowman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.