Bradley Cooper
Mandhari
| Bradley Cooper | |
|---|---|
Bradley Cooper, mnamo 2017. | |
| Amezaliwa | Bradley Charles Cooper 5 Januari 1975 Philadelphia, Marekani. |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 1999–hadi sasa |
| Ndoa | Jennifer Esposito (2006-2007) Irina Shayk (2015–2019) |
| Watoto | 1 |
Bradley Charles Cooper (Januari 5, 1975) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa Marekani anayejulikana duniani. Amepokea tuozo mbalimbali, ikiwemo Tuzo ya Filamu ya British Academy na Tuzo tatu za Grammy. Zaidi ya hayo, ameteuliwa kwa Tuzo 12 za Academy, Tuzo 6 za Golden Globe, na Tuzo ya Tony.[1][2]
Cooper pia ameonekana kwenye Orodha ya Forbes Celebrity 100 mara tatu na kwenye Orodha ya Time ya Watu 100 Wenye Usawaziko Mkubwa Zaidi Duniani mwaka 2015. Filamu zake zimeingiza zaidi ya dola bilioni 13 duniani kote, na ameorodheshwa mara nne kwenye orodha ya waigizaji wanaolipwa zaidi duniani.[3][4]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bradley Cooper, Nick Hornby". The Film Programme (, BBC Radio 4). November 5, 2015. https://www.bbc.co.uk/programmes/b06mtqsr. Retrieved December 31, 2020.
- ↑ Weiner, Jonah (Machi 10, 2011). "Don't Take This Hunk at Face Value". The New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 16, 2015. Iliwekwa mnamo Januari 5, 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Bradley Cooper Shares 'Extremely Important' Message Urging Pennsylvanians To Vote". CBS Philly. Oktoba 30, 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 7, 2021. Iliwekwa mnamo Januari 28, 2021.
I was born in Abington. I grew up in Montgomery County.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rickey, Carrie (Machi 18, 2011). "Bradley Cooper's the lead; his idol's the co-star". Pittsburgh Post-Gazette. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 26, 2015. Iliwekwa mnamo Januari 10, 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bradley Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
