Nenda kwa yaliyomo

Boyko Borisov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Boyko Metodiev Borisov (kwa Kibulgaria: Бойко Методиев Борисов; amezaliwa 13 Juni 1959) ni mwanasiasa wa Bulgaria ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Bulgaria tangu Mei 2017. Alikuwa pia Waziri Mkuu kuanzia mwaka 2009 hadi 2013 na kutoka 2014 hadi Januari 2017, na kumfanya Waziri Mkuu wa tatu wa Bulgaria kuhudumu hadi sasa.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boyko Borisov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.