Nenda kwa yaliyomo

Bouly Sambou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bouly Junior Sambou (aliyezaliwa tarehe 1 Desemba, 1998) ni mchezaji wa kulipwa wa soka kutoka Senegal anayekipiga kama mshambuliaji kwa klabu ya Iraq ya Al-Shorta SC na timu ya taifa ya Senegal.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 4 Februari, 2024, Sambou alisaini mkataba wa miaka 2.5 na klabu ya Konyaspor nchini Uturuki.[1]

Wydad Casablanca

Mshindi wa pili wa CAF Champions League: 2022–23 CAF Champions League
Kikosi Bora cha Msimu cha Botola: 2022–23 Botola#Annual awards[2]

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Wydad AC

[hariri | hariri chanzo]

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mabao ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Alama na matokeo yanaorodhesha jumla ya mabao ya Senegal kwanza.
  1. "Hoş geldin Bouly Junior Sambou" [Welcome Bouly Junior Sambou] (kwa Kituruki). Konyaspor. 4 Februari 2024. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-04-28. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Instagram". www.instagram.com. Iliwekwa mnamo 2023-09-26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bouly Sambou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.