Nenda kwa yaliyomo

Boukary Adji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Boukary Adji (1939 – 4 Julai 2018) alikuwa mwanasiasa wa Niger. Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Niger kuanzia 30 Januari 1996 hadi 21 Desemba 1996.[1]

  1. "Wayback Machine". www.afrique-express.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-12. Iliwekwa mnamo 2026-05-28.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boukary Adji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.