Bonnie Brown
Mandhari
Bonnie Jean Brown (amezaliwa 30 Julai, 1938 – amefariki 16 Julai, 2016) alikuwa mwimbaji wa muziki wa country na mshiriki wa the Browns, kundi la ndugu watatu maarufu katika miaka ya 1950 na 1960.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ McCall, Michael; Rumble, John; Kingsbury, Paul (Februari 2012). The Encyclopedia of Country Music (tol. la Second). Oxford University Press. uk. 55. ISBN 978-0195395631. Iliwekwa mnamo Septemba 24, 2015.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ The Associated Press (2016-07-17). "Bonnie Brown, Part of Sibling Country Trio, Dies at 77". The New York Times. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bonnie Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |