Bombwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Bombwe ni sanaa ya urembo wa kuchora mwilini, kama kuchora kwa hina na kuchora kwa piko, sanaa hii hutumika zaidi na wanawake.

Vile vile ni kiumbe anayeishi kwenye maji baridi ama ya chumvi hasa sehemu za bahari zilizoingia ndani ya ardhi ambako pia kuna makutano na maji baridi.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bombwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.