Bolu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:39, 5 Mei 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q200951 (translate me))

Bolu (Kigiriki: Βιθύνιον /Vithinion, Kilatini Bithynium au Claudiopolis) ni mji ulipo nchini Uturuki, na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bolu. Idadi ya wakazi wa mji huo wanafikia 84,565 (kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000).

Bolu ipo katika njia ya zamani itokayo mjini Istanbul hadi Ankara, ambayo inapanda kuelekea juu ya Mlima Bolu, wakati njia mpya ya gari imepita chini ya Pango la Mlima Bolu.

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bolu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.