Bodi ya Usajili wa Teknolojia za Uhandisi ya Kenya
Mandhari
Bodi ya Usajili wa Teknolojia za Uhandisi ya Kenya (kwa Kiingereza: Kenya Engineering Technology Registration Board, ufupi: KETRB) ni shirika la kitawala nchini Kenya lililoundwa kwa Sheria ya Teknolojia ya Uhandisi ya mwaka 2016[1].
Wajibu wake ni kudhibiti na kusanifisha utendaji kazi wa mafundisanifu na wahandisi wanateknolojia. Kwa mujibu wa sheria, KETRB hudhibiti matumizi ya ujuzi wa kiuhandisi. Inahusika pia katika kudhibiti vyuo vinavyofundisha elimu ya kiufundi katika uhandisi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kenya Gazette Supplement No 131: Act No 23. (2016). [online] Government of Kenya. Available at: https://kenyalaw.org/kl/fileadmin/pdfdownloads/Acts/2016/No._23_of_2016.pdf Ilihifadhiwa 11 Julai 2024 kwenye Wayback Machine. [Accessed 21 Aug. 2025].