Boden, Uswidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Boden)
Boden

Boden (Lule Sami: Suttes, Meänkieli: Puuti, Sami ya Kaskazini: Suttes) ni manispaa na pia mji nchini Uswidi katika mkoa wa Norrbotten. Kuna wakazi 18,680 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1919.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 19.97 km².


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boden, Uswidi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.