Nenda kwa yaliyomo

Bobby Murphy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Cornelius Murphy (alizaliwa Julai 19, 1988) ni mjasiriamali na Msanidi programu nchini Marekani.[1] Yeye ni mwanzilishi mwenza na afisa mkuu wa teknolojia (CTO) wa kampuni ya teknolojia ya kimataifa ya Snap Inc., ambayo aliiunda (kama Snapchat Inc.) pamoja na Evan Spiegel na Reggie Brown walipokuwa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Stanford.[2]

  1. "Robert Murphy". Wikipedia. Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
  2. "How this Fil-Am became 2nd youngest billionaire in the world". ABS-CBN News. Philippines. Machi 5, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 6, 2015. Iliwekwa mnamo Machi 6, 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Murphy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.