Nenda kwa yaliyomo

Boa Vista (Cabo Verde)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya funguvisiwa la Cabo Verde.

Boa Vista (Cabo Verde) ni kisiwa cha jamhuri ya Cabo Verde, katika kundi la Barlavento (yaani "juu ya upepo").

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boa Vista (Cabo Verde) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.