Nenda kwa yaliyomo

Bles Bridges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bles Bridges (alizaliwa Lawrence John Gabriel Bridges; 22 Julai 1946 – 24 Machi 2000) alikuwa mwimbaji kutoka Afrika Kusini.

Alizaliwa Viljoensdrif katika Orange Free State, na alifariki karibu na Bloemhof.

Alipata jina la utani “Bles” kutoka kwa babu yake Muirish, likimaanisha “kipara” kwa Kiafrikana (Afrikaans), kutokana na kuwa na nywele chache tangu utotoni.[1]

  1. ↑ "Bles Bridges (53) dies in road accident". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bles Bridges kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.