Nenda kwa yaliyomo

Blanketi la Basotho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanawake wa Besotho wakiwa wamevalia blanketi.

Blanketi la Basotho ni aina ya pekee ya blanketi ya sufi inayovaliwa na Wasotho huko Lesotho na Afrika Kusini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The History of the Basotho traditional blanket - The Blanket Wrap". web.archive.org. 2017-06-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.